Karibu kwenye Chrome Canary ya Android. 
•  Jaribio  - Toleo hili halijafanyiwa majaribio. Huenda si thabiti au wakati mwingine litashindwa kufanya kazi. Inapendekezwa kwa wasanidi programu au watumiaji mahiri pekee. 
•  Linasasishwa mara kwa mara  - Masasisho yanaweza kutumwa hadi mara saba kwa wiki, na kutumia kipimo data cha MB 100. Kuwa mwangalifu unaposasisha programu kwa kutumia data ya simu za mkononi. 
•  Toa maoni ya mapema  - Njia nzuri ya kusaidia kuboresha kivinjari cha Chrome ya Android. Bofya "Usaidizi na Maoni" kwenye menyu ili utoe maoni.
Ilisasishwa tarehe
31 Okt 2025